Pages

Wednesday, October 16, 2013

UMESHAZIONA PICHA ZA AZAM COMPLEX ILIVYO KWA SASA....ZITAZAME HAPA

Hiki ni kitu kipya ndani ya Azam Complex, makao makuu ya klabu ya Azam FC, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Upanade wa juu wa Canteen kuna michezo ya aina mbalimbali kama huu. Kulia ni beki wa Azam FC, Aggrey Morris na kushoto shabiki wa timu hiyo Ally Mkonya

Inapendeza na wageni wanafurahia pia

Jamaa wanakwenda kuagiza chakula Canteen

Canteen nzuri


No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII