JE UNAJUA KUWA KOMPYUTA YA KWANZA ILIKUWA KUBWA KAMA NYUMBA?? SOMA NA UTAZAME PICHA ZAKE HAPA
Hakika teknolojia imetoka mbali sana, na kadri siku zinavyozidi kwenda mabadiliko makubwa sana yanaendelea kutokea. Hivi sasa compyuta mpakato (laptop) ndizo zinaonekana ndogo kwa sababu zinaweza kubebeka na ni nyepesi ukilinganisha na Desktop, lakini baada ya miaka kadhaa laptop naamini zitakuwa ni computer kubwa na watu wataziita za kizamani. Ukifatilia historia ya computer utaamini ninachokisema hapa, mara ya kwanza computer ilipogunduliwa mwaka 1613 ilionekana kama ni kitu cha ajabu japo ilikuwa kianalogia saaana. Mwaka 1822 ndipo computer yenye uwezo wa kufanya kazi ilipozinduliwa pia ilionekana kama ni maendeleo makubwa sana, japo kuwa computer hiyo ilikuwa na ukubwa sawa na NYUMBA lakini ilionekana na maendeleo makubwa, hebu tazama hizi picha za computer za kwanza then linganisha na hizi za kisasa then uone tofauti iliyopo, na UNIAMBIE JE, BAADA YA MIAKA 50 TU...TUTAKUWA NA COMPUTER YA AINA GANI????? HEBU TAZAMA PICHA
Hiyo kompyuta ilikuwa na excel.?
ReplyDelete