Pages

Wednesday, November 6, 2013

MATUSI YA HUDAH KWENDA KWA PREZOO.....KWELI KUACHWA KUNAUMA!!! DUUH


X girlfriend wa Prezzo Huddah Monroe amemchafua vibaya mshikaji wake wa zamani kupitia instagram. Ugomvi huo ulianza baada ya Prezo kuweka picha hii picha kwenye instagram

ikiwa na caption zinazosema “Funny how sme past dnt wanna be tense……welcome 2 my future @chaggabarbie #MySize #GodIsInControl #UnRulyPreStar #Rapcellency”.
Huddah Monroe alishindwa kuvumilia na kuamua kutoa comment nzito inayosema “Una future gani wewe? Mwanaume mzma hela hauna, @Prezzo254 , Broke as he’ll still living under ya moms roof…..Wacha kujiaibisha, sitaki nikuaibishe mbwa koko. Respect yourself!”.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII