LEO tumepata email kutoka kwa msanii mmoja anayejulikana kwa jina la KEVOO anayesimamiwa kazi zake na producer Steve White kuwa kuna mganga amekuwa akimpigia simu akimuomba deal la kumfanyia akadabra akadabra ili awe maarufu kama wasanii wengine wakubwa, SOMA ALICHOTUTUMIA HAPA, "nimepigiwa simu na mganga na kuniambia anaweza nisaidia kishirikina ili nipendwe na watu wengi ndani na njee ya tz na nilimrecord wakati naongea nae haya ndo mazungumzo http://old.hulkshare.com/8jhfrthicn0g na nilikuwa na producer steeve white" kama utaitqaji kupata maelezo kwa kina namba yangu ni 071****411
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII