TAZAMA PICHA ZA P SQUARE WALIPOWASILI UWANJA WA NDEGE DAR HAPO JANA.....BOFYA HAPA
Wanamuziki wa kundi la P-Square
Peter na Paul baada ya kutua jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kushoto ni
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkrulu ambao ndio wadhamini
wakuu wa onesho lao ambalo limeratibiwa na East Africa Radio na EATV.
Hapa wakifanya mahojiano na kituo cha East Africa TV ambao ndio wenyeji wao.
Mahojiano na picha za hapa na pale zikiendelea.
Vijana wakielekea kupumzika tayari kwa kazi ya kesho
(Picha na Mdimuz Blog)
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII