ULISHAZIONA PICHA ZA NDEGE WANAZOMILIKI TP MAZEMBE?? KAMA HUJAZIONA BOFYA HAPA
Hakika soka ni biashara, hebu tazma wenzetu walivyowekeza katika soka. TP Mazembe ni klabu kubwa sana hapa Africa, kwa jinsi walivyowekeza ni halali waendelee kutawala soka la Africa. Hili ni somo kwa baadhi ya klabu za hapa Bongo. Igeni mfano huu, nawapongeza sana Azam kwa kuanza kuwekeza katika soka kwani naamini hata hawa TP Mazembe walianza vilevile, Uwanja, Bus na Tv station sio kitu hapa, mkifika hatua ya kununua Ndege yenu pia itakuwa ni hatua nzuri zaidi. Hizi ndizo picha za midege wanayomiliki TP MAZEMBE. Gonga lile katika page yetu kutoa sapoti.......
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII