Pages

Thursday, November 21, 2013

WASANII WAZIDI KUONYESHA JEURI YA PESA, HUU NDIO MJENGO WA ZAIDI YA BILIONI 22 ZA KITANZANIA ANAOMILIKI LIL WYNE




 Dwayne Michael Carter, Jr anajulikana kama Lil Wayne, anamiliki mjengo wenye thamani ya dola za kimarekani 14 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania zaidi ya bilioni 22 na nusu, jengo hili lipo maeneo ya Miami ambambo ni karibu zaidi na ufukwe wa bahari, Jengo hili la Lil wayne lina vyumba zaidi ya 6 ikiwa ni pamoja na vya wageni, swimming pool pamoja na gereji 3. 
Tazama picha 20 za mjengo huu kwa ndani, nje na kwajuu uone watu wanavyoishi kwenye maisha ya kifahari sana




















No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII