Mheshimiwa Balozi Khamis Kagasheki aliyekuwa waziri wa mali asili na utalii atangaza kujiuzuru muda mfupi uliopita baada ya taarifa ya kamati kumwingiza kwenye orodha ya mawaziri ambao wanatakiwa kujiuzuru kutokana na uhalifu uliofanywa katika operesheni TOKOMEZA ambapo raia waliuawa, kunyanyaswa kijinsia na kudhalilishwa kwa hali ya juu.....taarifa zaidi zitafata usiache kutembelea mtandao wetu
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII