Pages

Thursday, December 26, 2013

KUTOKA KWA DIAMOND: TAZAMA PICHA ZA MTOTO ALIYEUMIA USO AKIHANGAIKA KUPANDA KUMUONA DIAMOND

 Napenda nitoe pole za dhati kabisa kwa binti huyu
 mdogo,aliyepata

 majeraha usoni wakati akijaribu kupata nafasi ya
 kunishuhudia..yote ni kutokana na msongamano mkubwa wa watu uliokuwepo..
NAWAPENDA MASHABIKI WANGU..NAWAPENDA SANA WATOTO WOTE

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII