Pages

Saturday, December 28, 2013

KWA UNYAMA HUU NI HALALI MAWAZIRI KUWAJIBISHWA, TAZAMA VIDEO YA UNYAMA ULIOKUWA UKIFANYIKA KATIKA OPERESHEN TOKOMEZA

Inawezekana kabisa waliotakiwa kuwajibishwa ni hawa wanajeshi waliofanya huu unyama, inatia huruma sana kutazama hii video, lakini tumezoea kuona wakubwa wakiwajibishwa kutokana na madudu wanayofanya watu wa chini...Inatia huruma sana hebu angalia hii video hapa


No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII