INAYOMKABILI. TOFAUTI NA WENGI WATAKAVYOFIKIRI, HUMU LULU KAONGELEA KITU KITU, MIPANGO, ANACHOKIFANYA KWA SASA NA MAMBO MENGINE MENGI AMBAYO HAJAWAHI KUYAONGEA POPOTE ZAIDI YA BAABKUBWA MAGAZINE. IN SHORT UTA-ENJOY MENGI YANAYOMUHUSU LULU HUMU NDANI.
OUT OF THAT KUNA MASTORY YA KUSHIBA YANAYOGONGA KILA KONA, KUANZIA SIASA, BONGOWOOD, SKONGA, RECORD REPORTS, LENZI BAABKUBWA AMBAPO PICHA ZA SHOW YA P-SQUARE NA EBSS ZIMEHUSIKA BILA KUSAHAU MASTORY YA KUFA MTU NDANI YA SHOWBIZ 411 AND GOSSIP.
USIPANGE KULIKOSA,,,,,, NI SHIDAAAAAAAAAAAA…..!
BAABKUBWA COMING OUT THIS WEEK……!
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII