Pages

Monday, December 9, 2013

MKAKATI WA KUMUUA DR SLAA NA KUIKWAMISHA CHADEMA KIGOMA UMEGUNDULIKA, SOMA HAPA

Nyuma yake wako viongozi na wanachama au waliofukuzwa uanachama wa CHADEMA siku nyingi. Wameamua kudhihirisha dhambi zao za usaliti na uasi hadharani, lakini sasa kwa kupanga mipango hatari ya kumwaga damu.

Kikosi cha mabaunsa kinaongozwa na mtu aitwae Shabaan Salum (0756373737), mkazi wa Minazi Mitatu Kitangiri, mwingine ni Ashiru Hashim (0753100221), dereva wa bodaboda namba BXT852 Sanya, Kona ya Bwiru, Nyamanoro.

Waratibu wa msafara ni watu waliojulikana kwa majina ya Habib na Gwanchele. Mkuu wao ni Matata. Walitarajiwa kuingia Kigoma jana usiku wakipitia njia ya Mwanza, Sengerema, Geita, Katoro...

Malengo; kuvuruga mkutano na homecide (kuua), kwa njia yoyote ile. Wamejiandaa na wamedhamiria kupoteza maisha ya watu wao hata wawili au watatu, lakini watimize malengo hayo muhimu waliyoagizwa na Team....

Malipo kwa kila baunsa ni laki tatu-300,000/=

Waliosafiri kwa kazi hiyo wanakadiriwa kufikia 60.

Tutatoa details za kutosha kadri muda unavyokuja.

Maneno ya kumuua Dkt. Slaa akiingia Kigoma yametamkwa jana hadharani mbele ya polisi. Tena mtoa tamko akarudia mara tatu kwa msisitizo akimwambia RPC.

Kurugenzi ya Habari
CHADEMA
chadema blog

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII