Pages

Sunday, December 15, 2013

PICHA SIO NZURI : MWILI WA MWENYEKITI WA CCM BAADA YA KUUAWA NA WANANCHI KWA MAWE

Picha hii sio nzuri, samahani. Lakini hiki ndicho kilichotokea leo mchana maeneo ya kiseke baada ya mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Bw. Mabina kuuawa na wananchi wenye hasira waliokuwa wakidai ardhi ambayo bwana mabina alikuwa ameipata ki ujanja ujanja. Baada ya kumhoji kwa nini ameamua kujenga eneo lisilo lake na lenye mgogoro, aliamua kuwatukana na kufyatua risasi kuwatishia ndipo wananchi walipoamua kujichukulia hatua

RIP

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII