Mh.Zitto Kabwe akiondoka Kasulu,Amezungumzia kuhusu NAMNA CHAMA KINAVYOMSURUBISHA KWASABABU YA HOJA YAKE YA MAHESABU KWA VYAMA VYA SIASA,Mabilioni ya Uswis Na Uwajibikaji wa Viongozi wa serikali pamoja na Wa vyama Vya siasa.\
Kes HERI wana Kasulu,Nitakuja tena kuzungumza nanyi katika jambo lolote lile kabla ya hatua yoyote ile sijaichukua katika Maisha yangu ya siasa.MM ni mtoto wa mama Maskini,Baba Maskini na rafiki zangu ni watu Maskini.
Ninamalizwa na chama changu kwa sababu ya POSHO,NIMEKATAA POSHO LAKINI WAONAO UMIA NI WENGINE.
Zitto anahutubia maelfu ya wananchi
Pia zitto Kabwe amesimikwa hii leo Kuwa MWAMI na wazee wa kasulu
Mamia ya wananchi wakimiminika kwenye uwanja wa Mkutano hapa Kasulu
Mambo ndio hayo KASULU MUDA HUU
Mh.Zitto Kabwe akiwashukulu sana Wanakasulu kwa namna walivyojitokeza kwenye mapokezi hapa kasulu
Ni maelfu ya Wananchi wapo kwenye maandamano ya kumpokea Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh.Zitto kabwe.
Picha inazungumza wazi namna Msafara ulivyomkubwa sana na umejaa vijana,akina mama na wazee pamoja na watoto wanaotoa sapoti ya kutosha kwa MH.Zitto Kabwe
Maduka Yamefunga watu wote wanaelekea eneo la Mkutano,Hii ni wazi Zitto ni mtu wa watu,Ni mbunge anayekubalika Kigoma na Tanzania
nn
Ushishangae kuona kwenye msafara huu Mkubwa hapa Kasulu Pia hakuna Bendera za chadema,zaidi utaiona moja moja,Ni kwasababu wanakigoma wanasema "ZITTO NI MBUNGE WA KITAIFA,MTETEZI WA WATANZANIA,ZITTO KWANZA,CHADEMA BAADAE"
Mambo yapo hivi hapa Kasulu
Waandishi wa habari pia wapo wengi sana kwaajili yakuchukua matukio na habari
mm
\mm
j
Asanteni wanakigoma
Moja ya Mbango katika mapokezi ya Mh.Zitto Kabwe hapa Kasulu alipopigwa mawe Dr.slaa na kukimbia
Vijana wanatoa sapoti ya Kutosha kwa Mbunge wao zitto
UJUMBE WA CHADEMA"Demokrasia Itashshinda Dhidi ya UHAFIDHINA"
Vijana wakiwa wamejipanga kumpokea Zitto kwenye Vijiji vya Kwanza Kwanza kabla huja fika Kasulu Mjini KM.2 nyuma.
Mambo ndio haya,Wanasema NABII HAKUBALIKI KWAO? Zitto ametikisa Kigoma
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII