TAZAMA HII PICHA THEN WEKA KICHA CHA HABARI MWENYEWE, HAHA
Mwigizaji mkongwe nchini Ulimboka Mwakilasa
al-maarufu kama “Senga” amenaswa laivu na kamera ya mdau mmoja
akishangaa laivu mzigo (wowowo) la mwanadada Agness Masogange wakati wakishoot
filamu mpya ya mwanadada Nisha ambayo mwigizaji huyo ameshirikishwa. Tazama
picha nyingine hapa chini...

No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII