SKENDO YA KUCOPY NA KUPASTE YAZIDI KUMWANDAMA DIAMOND....H: BABA NAE ADAI IDEA NI YAKE
Scandal inayohusiana na wimbo mpya wa Diamond ‘Nataka Kulewa’
imeendelea kuchukua sura mpya baada ya H.Baba leo kuuambia mtandao huu
kuwa Diamond Platnumz ameanza kutuma watu wake ili waiibe flash yenye
wimbo wake (H baba) ili kusiwepo ushahidi.
Amesema hana lengo la kuuachia wimbo huo lakini atatoa kipande kifupi ili watu wasikie kile anachokisema.
Msanii huyo anasema Diamond alimkuta kwenye studio ya G Records wakifanya wimbo wenye jina hilo (Nataka Kulewa) ambapo Q-Chief aliimba chorus na Diamond kuusifia sana
“Ninayo kwenye
flash lakini siwezi kuiacha sehemu yoyote sababu ameshatengeneza mpaka
watu waibe hii flash, yaani sasa ni michongo tu ya ajabu ajabu
inaendelea sasa hivi,” amesema.
‘Kwasababu kule studio yaani verse
zote zimefutika lakini mimi nilikuwa nayo kwenye flash yaani ile demo
nilichukua kwaajili ya kusikiliza nyumbani, studio verse zote zimepotea,
huwezi amini.”
Amesema hana lengo la kuuachia wimbo huo lakini atatoa kipande kifupi ili watu wasikie kile anachokisema.
Msanii huyo anasema Diamond alimkuta kwenye studio ya G Records wakifanya wimbo wenye jina hilo (Nataka Kulewa) ambapo Q-Chief aliimba chorus na Diamond kuusifia sana
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII