HAWA NDIO WAREMBO WATAKAOWANIA TAJI LA MISS EAST AFRICA TAREHE 7
Warembo
watakaowania taji la Miss East Africa 2012 wakiwa katika vazi la
ufukweni, jijini Dar es salaam. Shindano hilo litafanyika tarehe 7
December 2012 (Ijumaa wiki ijayo), kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es
salaam.
Mashindano haya Yanaandaliwa na kumilikiwa na kampuni ya Rena Events Ltd na kudhaminiwa na TANAPA, Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, Ethiopian Airlines, Seascape Hotel, Darlings Hair, Ako Catering, DTP, Satguru, na Clouds FM.

Burundi
Eritrea
Ethiopia
Kenya
Rwanda
Tanzania
Uganda
Somalia
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII