KATIKA PICHA: MAZISHI YA SHARO MILLIONEA MCHANA HUU..
Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele
Rafiki
mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono
wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza mkoani Tanga.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII