Usiku wa jana katika mitandano mbalimbali kulikuwa na taarifa kwamba mwanadada Ray C amefariki wakati habari si za kweli ,sasa katika kuhakikisha taarifa hii tuliweza kupiga story na mama yake mzazi.Ebu msikilize hapo mama yake mzazi akifunguka kuhusiana na taarifa hiyo.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII