HIKI NDICHO ALICHOZUNGUMZA MAMA YAKE RAY C BAADA YA UZUSHI KUWA MWANAYE AMEKUFA...
Usiku wa jana katika mitandano mbalimbali kulikuwa na taarifa kwamba mwanadada Ray C amefariki wakati habari si za kweli ,sasa katika kuhakikisha taarifa hii tuliweza kupiga story na mama yake mzazi.Ebu msikilize hapo mama yake mzazi akifunguka kuhusiana na taarifa hiyo.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII