Pages

Friday, November 9, 2012

LORD EYES KUZUNGUMZA KESHO NA WAANDISHI KUHUSU TUHUMA ZINAZOMKABILI..


Kesho ni siku ambayo yale maswali mengi tuliyokuwa tunajiuliza kuhusu Tuhuma za wizi wa Power window zinazomuhusisha msanii kutoka katika kundi la Weusi Lord Eyes, zitapata majibu pale ambapo Lord Eyez alienda nje kwa dhamana akiwa na mwanasheria wake wataongea na waandishi wa habari katika hoteli inayoitwa Wistaz iliyoko sinza kuanzia saa tano asubuhi  na kuelezea mkasa wote  na kinachoendelea kwa sasa

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII