SOMA ALICHOANDIKA DR SLAA KUHUSU MGOGORO WA GESI NA VURUGU ZINGINE ZINAZOENDELEA NCHINI
Moja ya mambo yaliyoshika kasi kwenye vyombo vya habari takribbani wiki
mbili sasa ni suala la GAS Mkoani Mtwara. Licha ya wanaharakati
mbalimbali kuonekana kama vile wamemwagiwa maji na kutetemeka kwa baridi
,kiashiria kwamba wanaogopa kutamka waziwazi kinachofanywa na JK sio
jambo jema .Dr Slaa Katibu Mkuu wa CDM huyu hapa kupitia page yake ya
fb
Wilbrod Slaa
Serikali isiyo makini hujaribu kuuaminisha umma kwamba kilio chochote kile cha jamii inayoiongoza ni hujuma za upinzani na ni siasa tu. Hujiaminisha kwamba kilio cha matumizi ya rasilimali za Taifa yasiyo ya usawa au uhamishaji fedha haramu ni siasa na kelele za msimu. Usaliti na wehu wa hali ya juu kabisa katika uongozi wa nchi ni kuamini kwamba uko sahihi zaidi ya mamilioni ya wananchi unaowaomba kura. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Wilbrod Slaa
Serikali isiyo makini hujaribu kuuaminisha umma kwamba kilio chochote kile cha jamii inayoiongoza ni hujuma za upinzani na ni siasa tu. Hujiaminisha kwamba kilio cha matumizi ya rasilimali za Taifa yasiyo ya usawa au uhamishaji fedha haramu ni siasa na kelele za msimu. Usaliti na wehu wa hali ya juu kabisa katika uongozi wa nchi ni kuamini kwamba uko sahihi zaidi ya mamilioni ya wananchi unaowaomba kura.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII