
Wilbrod Slaa
Serikali isiyo makini hujaribu kuuaminisha umma kwamba kilio chochote kile cha jamii inayoiongoza ni hujuma za upinzani na ni siasa tu. Hujiaminisha kwamba kilio cha matumizi ya rasilimali za Taifa yasiyo ya usawa au uhamishaji fedha haramu ni siasa na kelele za msimu. Usaliti na wehu wa hali ya juu kabisa katika uongozi wa nchi ni kuamini kwamba uko sahihi zaidi ya mamilioni ya wananchi unaowaomba kura.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII