DAYNA ACHUKIA KIFUA CHAKE
Msanii anayefanya vizuri katika gem ya Bongo Fleva Dayna amesema
anachukia sana “chale” alizochanjwa alipokuwa mdogo zilizopo kifuani
kwake na kutamani kuzitoa kwa gharama yoyote.
Dayna amefunguka kuwa wakati akiwa mdogo alikuwa anatatizo la kuumwa
kifua hivyo walezi wake katika kutafuta tiba akajikuta anachanjwa chale
hizo ambazo amekuwa akizichukia sana.
Dayna anayatamba na ngoma yake mpya akimshirikisha Mr. Blue inaitwa Leo amesema anamshukuru Mungu kwani kila umri wake unavyozidi kukua na chale hizo zinapotea.
Dayna anayatamba na ngoma yake mpya akimshirikisha Mr. Blue inaitwa Leo amesema anamshukuru Mungu kwani kila umri wake unavyozidi kukua na chale hizo zinapotea.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII