Rapa Jackson Makini ama Prezzo ametua nchini Kenya baada ya kukaa kwa
wiki moja mjini Lagos, Nigeria alipokuwa amekwenda kwa ajili ya
kufurahia siku ya wapendanao yaani Valentines Day ambapo badala yake
akakutana na msiba mzito baada ya kifo cha mpenzi wake Goldie katika
siku hiyo muhimu.
Prezzo ambaye hakutaka kufanya aina yeyote ya mahojiano imemlazimu kurudi nchini Kenya baada ya familia ya marehemu Goldie kutokuwa na taarifa kamili juu ya mipango ya mazishi ya mpendwa wao Goldie Harvey.

Aidha watu wa karibu wa rapa Prezzo wamethibitisha uwepo wake
akiungana na ndugu wa marehemu katika uombolezaji tofauti na bwana wa
marehemu Andrew Harvey ambae kila kukicha alikuwa bize akifanya
mahojiano na vyombo vya habari ambapo taarifa zilizopo ni kwamba yupo
nchini Uingereza.
nchini Uingereza.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII