LADY JAY DEE AWATOLEA UVIVU CLOUDS FM....AWAPONDA KINOMA, SOMA MWENYEWE ALICHOANDIKA
Let just say, Lady Jaydee ameamua kujitoa muhanga kwa kuchukua uamuzi mzito wa kuishushia madongo ile aliyoiita Radio ya watu (guess leo joto na hasira vimempanda).
Jaydee ametweet:
“Radio ya watu isiopiga nyimbo za wasanii wa watu ila za wasanii wao tu, wasiopendwa na watu. #JotoHasira,” ametweet Jide.
Katika kile kinachoashiria kuwa yuko tayari kwa lolote Jaydee
ameongeza kwa kutweet, “Kill me if u can. Am on fire, siogopi ng’oooooo
jipangeni. Ni kweli nimelamba sumu, lakini hainidhuru. Nakunywa maziwa
daily, I will survive.”
“Anayedai kuianzisha bongoflava aliapa kuiua bongo flava. Sasa hata
wasioijua Hiphop nao wana beef na Bongo flava! Damn.Mnalishwa chungu na
tamu na vyote mnakula. Vinyoka nyamazeni acheni Anaconda aongee
Duh, nimeupenda ujumbe.
ReplyDeleteNimekubali komando bint machozi wape ukwel
ReplyDeleteukweli mtupu ubaguziupo kweli kwenye hyo radio wanakalia kuongea tuu utadhani walichelewa kutembea
ReplyDeleteSafiiiiiiiiii asnte Jei Deeee
ReplyDelete