Pages

Saturday, March 30, 2013

LADY JAY DEE AWATOLEA UVIVU CLOUDS FM....AWAPONDA KINOMA, SOMA MWENYEWE ALICHOANDIKA

Screenshot - 3_30_2013 , 2_49_12 AM




Let just say, Lady Jaydee ameamua kujitoa muhanga kwa kuchukua uamuzi mzito wa kuishushia madongo ile aliyoiita Radio ya watu (guess leo joto na hasira vimempanda).


Jaydee ametweet:
“Radio ya watu isiopiga nyimbo za wasanii wa watu ila za wasanii wao tu, wasiopendwa na watu. #JotoHasira,” ametweet Jide.
Katika kile kinachoashiria kuwa yuko tayari kwa lolote Jaydee ameongeza kwa kutweet, “Kill me if u can. Am on fire, siogopi ng’oooooo jipangeni. Ni kweli nimelamba sumu, lakini hainidhuru. Nakunywa maziwa daily, I will survive.”

“Anayedai kuianzisha bongoflava aliapa kuiua bongo flava. Sasa hata wasioijua Hiphop nao wana beef na Bongo flava! Damn.Mnalishwa chungu na tamu na vyote mnakula. Vinyoka nyamazeni acheni Anaconda aongee

4 comments:

  1. Nimekubali komando bint machozi wape ukwel

    ReplyDelete
  2. ukweli mtupu ubaguziupo kweli kwenye hyo radio wanakalia kuongea tuu utadhani walichelewa kutembea

    ReplyDelete
  3. Safiiiiiiiiii asnte Jei Deeee

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII