Pages

Saturday, March 16, 2013

Tamara Klajn alipo mpokea Leticia Nyerere kwenye bunge la senate mjini Washington, DC

Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Mhe. Leticia Nyerere akipokelewa na Tamara Klajn, mtaalam kamati ya mambo ya nje (Committee on Foreign Relations), kwa ajili ya mazungumzo na senate kuhusu mfumo wa mabunge mawili yanavyofanya kazi Siku ya  Ijumaa March 15, 2013 katika jengo la Senate Dirksen lililopo Capital Hill Jijini Washington, DC. (Picha na swahilivilla.blogspot.com)
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA), Mhe Leticia Nyerere akiwa kwenye ofisi ya senate ya mambo ya nje alipo fanya mazungumzo na Tamara Klajn, mtaalam kamati ya mambo ya nje (Committee on Foreign Relations),leo Ijumaa March 15, 2013 jijini Washington, DC
\ Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA), Mhe Leticia Nyerere  akipata ufafanuzi kutoka kwa mtaalamu wa senate kitengo cha mambo ya nje, Tamara Klajn jinsi mabunge mawili yanavyo fanya kazi nchini Marekani
 Mh. Leticia Nyerere na Mtaalamu wa senate mambo ya nje, Tamara Klajn wakimsikiliza kwa makini mwanasiasa wa Marekani,  Rick Tingling, akielezea historia ya mabunge mawili
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA), Mhe Leticia Nyerere  akiendelea kupata maelezo namna mabunge mawili yanavyo fanya kazi huku Liberatus Mwang'ombe akinukuu mazungumzo yao
Mhe Leticia Nyerere akipata picha ya pamoja baada ya mazungumzo kwenye bunge la senate
 

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII