

Huyu ni MCHUNGAJI wa kibrazili ambaye alikuwa akiwashawishi waumini wa kike waamini kuwa uume wake una maziwa na kwamba Roho mtakatifu humtokea kupitia viungo vyake......
Kwa kifupi anadai kuwa uume wake umebarikiwa na Mungu ameujalia kuwa unatoa maziwa matakatifu.
Polisi wameamua kumtia nguvuni kwa udanganyifu mkubwa mchunganji huyo ambaye amepata jina la 'Mr Penis Milk'
Source : GHANA METRO
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII