Kutoka katika kazi mpya ya Ben Pol 'Najikubali' teaser ambayo ameitoa hii leo, 'attention' ya watu wengi imeibuka hasa baada ya msanii huyu kusikika amemtaja bi dada Lady Jay Dee ambaye kwa sasa asilimia kubwa ya watu wanawachukulia kuwa wao ni mahasimu na hawaelewani.
Ben Pol ameweka wazi kuwa, Kazi hii aliirekodi kabla ya 'tiff' lake yeye na bi dada na hivyo hata baada ya mapito ameona si issue kuedit, lakini pia msanii huyu amefafanua status nzima ya mahusiano yake na Lady Jay Dee kwa sasa hasa ikizingatiwa kuwa wawili hawa walipishana maneno mtandaoni siku kadhaa zilizopita.... na hapa Ben Pol anaeleza.
Msikie Ben Pol akifafanua mahusiano yake na Jide hapa;
NA HII CHINI NDIO AUDIO TEASER YA WIMBO WAKE MPYA UNAOKUJA SOONBen Pol ameweka wazi kuwa, Kazi hii aliirekodi kabla ya 'tiff' lake yeye na bi dada na hivyo hata baada ya mapito ameona si issue kuedit, lakini pia msanii huyu amefafanua status nzima ya mahusiano yake na Lady Jay Dee kwa sasa hasa ikizingatiwa kuwa wawili hawa walipishana maneno mtandaoni siku kadhaa zilizopita.... na hapa Ben Pol anaeleza.
Msikie Ben Pol akifafanua mahusiano yake na Jide hapa;
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII