LADY JAY DEE NA MABOSS WA CLOUDS TENA.....SOMA ALICHOWAANDIKIA HAPA
Baada ya mafumbo
mengi na vijembe huko twitter na bbm hatimaye mwandana komandoo na super
star Lady Jay Dee ameamua kufungua na kutaja majina ya hao watu wenye
beef nae kupitia ukurasa wake wa twitter. Jide amefungua na kupodt
yafuatyao.
Dah naskia jana
kwenya interview yake na TBC alimchana Ruge live, tunajaribu kuifuatilai
interview hiyo na tutawaletea hapa live kila kitu alicho kiongela super
star huyo. Stay tuned!
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII