FAMILIA YA KANUMBA YAMPA TUZO MILLARD AYO...NI KWA NINI? SOMA HAPA
Mtangazaji katika super brand redio Clouds Fm juzi
alipata tuzo kutoka familia ya Steven Charles Kanumba na alikuwa na haya ya
kusema.
Jana April 7 2013 bila kufahamu kitakachotokea nilikwenda
viwanja vya Leaders kwa ajili ya kupiga picha na kuchukua habari kwa ajili ya
AMPLIFAYA ya Clouds FM na millardayo.com ambapo nilipokua kwenye stage na
Camera yangu nikichukua matukio wakati familia ya Marehemu Kanumba ikitoa tuzo
mbalimbali kwenye kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha Kanumba, ghafla nikiwa
sijategemea… nikawa mtangazaji pekee na mwandishi wa website nilieitwa na
kupewa hii tuzo ya familia hiyo kutambua mchango wangu, asante sana kwa familia
hii, asante kwa watu wangu wote wa nguvu wanaonisupport.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII