Hawa nao wamo kwenye list, Nasikia ni 'Wasambaa' kutoka Mlola Lushoto!! Teh teh teh
Kutoka katika mtandao www.telegraph.co.uk wa Uingereza, wametoa picha hizi ambazo ndizo picha za watu wenye sura mbaya zaidi na za ajabu duniani. Ama kweli duniani kuna ma HB, Hadi wale ndugu zetu Wasambaa wamo (wale weusi)
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII