Taarifa
za ndani kabisa zilizopatikana kutoka kwa Waandishi wa habari,Vyombo
vya usalama na ndani ya CCM kwenyewe zinaonyesha sakata la Kuteswa kwa
Kibanda na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi Mkurugenzi wa usalama wa
Chadema ndugu Alfred Lwakatare linachukua sura mpya na mapya yamefichuka
kwa ushahidi.
Dennis
Msacky ambaye ni mhariri wa Mwananchi aliyehusishwa na kuwa mojawapo wa
watu waliopangwa kutekwa,amekua akifanya mawasiliano na Ludovick Joseph
Lwezaura kama ifuatavyo
Tarehe 27/12/2012:
Dennis Msacky kupitia simu ya mkononi namba 07643310** aliwasiliana kwa
simu na Ludovick Joseph kupitia simu namba 07539271** akiwa Tamal
hotel,Mwenge jijini dar-Es Salaam. Hii ilikua siku moja kabla ya mkanda
wa video uliowekwa youtube kurekodiwa.mkanda ulionyesha kuwa ulirekodiwa
kesho yake yaani tarehe 28/12/2013
Tarehe
30/12/2012 Dennis Msacky kupitia simu namba 07643310** aliwasiliana na
Ludovick kupitia simu namba 07539271** mnamo saa tano na dakika 8
asubuhi akiwa Iringa. Hii ilikua siku moja baaada ya Mwigulu
Nchemba kutangaza kupitia kituo cha televisheni cha Star TV kwamba anao
mkanda unaoonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji..
Tarehe
31/12/2012 Dennis Msacky alimpigia simu ludovick kwa namba hizo hizo
mnamo saa moja kamili usiku (19:00),wakati huo Ludovick akiwa Tegeta
Huyu ni mtu aliyepangwa kutekwa,lakini alikua na mawasiliano na kijana
Ludovick ambaye ni Mtuhumiwa.
Pandikizi Ludovick alikua na mawasiliano na Mwigulu nchemba na pia
zimepatikana envidence za
kutumiana fedha na mwigulu Nchemba alikiri hilo.
Duru mpya zimeendelea kuonyesha kuwa Dennis Msacky anatumika kwa kiwango
cha kutisha katika kuihujumu CHADEMA akishirikiana na Rafiki yake
ambaye ni waziri wa mambo ya ndani Emmanuel Nchimbi,Mwigulu Nchemba,Nape
Nnauye,Zitto kabwe na Steven Wassira.
Lengo la mipango hii ni kutaka:
Mosi,Chadema kichukiwe na waandishi wa habari.
Pili,Kutaka Chadema
kionekane chama
cha kigaidi ili kifutwe .
Tatu,Zitto alipoandika barua kwa katibu mkuu wa
chadema haikua bahati mbaya.na hata ilipovujishwa na yeye mwenyewe
ilikua ni mkakati wa Zitto kujionyesha kwamba yeye ni rafiki zaidi wa
waandishi wa habari na msimamo wake baada ya kuona unakwama akaamua
kujitoa.
Zitto anajua mkakati wote kuanzia mwanzo hadi mwisho.Barua yake
aliiandika kwa makusudi na alijua ataivujisha baada ya kikao cha kamati
kuu akishirikiana na Msafiri Mtemelwa siku ya ijumaa iliyopita tarehe
5/04/2013 na kisha kukaa kimya hadi siku iliyofuata siku ya jumamosi
tarehe 06/04/2013 alipojitokeza na kutoa tamko la kuthibitisha barua
hiyo imevuja na kujaribu kuihusisha ofisi ya katibu mkuu ambaye ni
mtendaji mkuu wa Chadema pamoja na kuongea mambo ambayo yeye sio msemaji
wa vikao vya kamati kuu kinyume na kanuni,miongozo na taratibu za chama
hicho ..
Ikumbukwe kuwa Gazeti la Mwanahalisi lilichapisha mawasiliano ya
Zitto na Dennis Msacky wakipanga kukihujumu Chadema miaka
iliyopita.kitendo
hicho kilichafua sifa ya Dennis Msacky na chombo anachofanyia kazi.
Hadi
muda huu duru za ndani kutoka mwananchi Communications ltd zinadai kuwa
uongozi na hata wafanyakazi wa chombo hicho hawakufurahishwa na uhusika
wa dennis Msacky katika kuhujumu vyama vya upinzani akishirikiana na
vyombo vya dola huku wakihisi kuwa amehusika kwa namna moja ama
nyingine na matukio mabaya ya kisiasa yaliyotokea likiwepo hili la
Kibanda,la Dr.Ulimboka n.k
Source : Mpekuzi
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII