NEW VIDEO : TOX STAR ft DULLY SYKES...CHUKUA DAKIKA ZAKO UBURUDIKE HAPA
Hiki ndio kichupa cha msanii Tox Star akimshirikisha Dully Sykes, ngoma hii imetayarishwa na director mkali Pablo wa Apex.....Chukua dakika zako kadhaa kutazama kazi makini kutoka kwa vichwa hatari, Tox Star akiwa na Dully Sykes
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII