TAZAMA PICHA ZA UJINGA UNAOFANYWA NA KANGA MOJA, HIVI WANA AKILI KWELI??
Mwanamke akimwagiwa maji matakoni mbele ya watoto waliohudhuria
Paja lote liko nje huku akihema utafikiri mbwa aliyekurupushwa
Hapo wanafanya mapenzi live japo hawajavua.....Iko haja ya kuwakataza watoto kushiriki show kama hizi.....
Hili ni kundi la watoto kama unavyoliona....Kati yao wengine ni wanafunzi....Wakifeli, lawama zote kwa serikali...
Huyu hata chupi hana.Ni kanga tu tena imefungwa upande mmoja.Haya madanguro ya uchi yanakera sana
Ni upumbavu mtupu, hivi hawa wanaofanya hivi hawana watoto? au hawana wazazi? kuna haja ya serikali kuingilia kati na kusitisha kabisa shughuli za hili kundi maana halina chochote cha kuifundisha jamii zaidi ya uzinzi.
ReplyDeleteyeye hana makosa, kama serikali ingemupa mkopo bila shaka angejitafutia shughuli ingine ya kufanya, lakini kwa kufanya hivyo ndiyo kula yake
ReplyDeletewatu wzirudie dini zao kulaumu serikali haisaidii kwani ipo mikopo ya finca,pride,bank na mfuko wa rais ni watu wenyewe kukubari kuchukua, lakini hawa watanzania wenzetu hawapendi.
ReplyDelete