Pages

Thursday, April 4, 2013

TAZAMA PICHA ZA UJINGA UNAOFANYWA NA KANGA MOJA, HIVI WANA AKILI KWELI??




Mwanamke  akimwagiwa  maji  matakoni  mbele  ya  watoto  waliohudhuria

Paja lote  liko  nje  huku  akihema  utafikiri  mbwa  aliyekurupushwa



Hapo  wanafanya  mapenzi  live  japo  hawajavua.....Iko  haja  ya  kuwakataza  watoto  kushiriki  show  kama  hizi.....

Hili  ni  kundi  la  watoto  kama  unavyoliona....Kati  yao  wengine  ni  wanafunzi....Wakifeli, lawama  zote  kwa  serikali...


Huyu  hata  chupi  hana.Ni  kanga  tu  tena  imefungwa  upande  mmoja.Haya  madanguro  ya  uchi  yanakera  sana

3 comments:

  1. Ni upumbavu mtupu, hivi hawa wanaofanya hivi hawana watoto? au hawana wazazi? kuna haja ya serikali kuingilia kati na kusitisha kabisa shughuli za hili kundi maana halina chochote cha kuifundisha jamii zaidi ya uzinzi.

    ReplyDelete
  2. yeye hana makosa, kama serikali ingemupa mkopo bila shaka angejitafutia shughuli ingine ya kufanya, lakini kwa kufanya hivyo ndiyo kula yake

    ReplyDelete
  3. watu wzirudie dini zao kulaumu serikali haisaidii kwani ipo mikopo ya finca,pride,bank na mfuko wa rais ni watu wenyewe kukubari kuchukua, lakini hawa watanzania wenzetu hawapendi.

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII