Tazama picha mbalimbali za utengenezaji wa filamu mpya ya wastara sajuki na Hemedy.
Katika filamu hii iliyoigizwa Mkoani Mwanza, inahusu kisa cha usaliti wa ndani ya ndoa unaopelekea mpaka mke kuwa chizi kutokana na maumivu ya mapenzi anayoyapata toka kwa mumuwe na hatimaye kusababisha kuingia kwenye kesi ya mauaji inayofanya filamu hii kuwa nzuri, ya kusisimua na ya aina yake.
Ndani ya filamu hii Wastara na Hemedy ndio wahusika wakuu, na wastara ndio mke wa hemedy- mume mkorofi.
Filamu hii imeongozwa na Bond Bin salim aliyeshinda tuzo ya mwongozaji bora wa filamu katika tuzo za ZIFF.
Filamu hii inatarajiwa kuanza kupatikana sokoni kuanzia mwezi wa kumi na moja Tanzania kote. Usikose nakala yako.

No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII