Pages

Sunday, August 25, 2013

TAZAMA PICHA YA JENGO LA AZAM TV HAPA

clip_image001 
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa Makao Makuu ya Kituo kipya cha Televisheni cha Aam TV, eneo la Tazara, Dar es Salaam. Kituo hicho kimeingia mkataba wa kurusha
matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Yataanza kurushwa Septemba mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII