Mafundi
wakiendelea na ujenzi wa Makao Makuu ya Kituo kipya cha Televisheni cha
Aam TV, eneo la Tazara, Dar es Salaam. Kituo hicho kimeingia mkataba wa
kurusha
matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Yataanza kurushwa Septemba mwaka huu.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII