MSANII wa filamu ambaye ni raia wa Ghana, Joseph Fhiphi Van Vicker,
ameondoka leo nchini kurudi nchini Ghana baada ya kuwa nchini kwa muda
wa siku mbili, kwa shughuli ya kurekodi filamu.
Jana kamera yetu ilibahatika kukutana naye uso kwa uso mtaa wa India, Posta jijini Dar, ambapo mahojiano maalumu yalifanyika.
Jana kamera yetu ilibahatika kukutana naye uso kwa uso mtaa wa India, Posta jijini Dar, ambapo mahojiano maalumu yalifanyika.
(Habari/Picha: Brighton Masalu na Richard Bukos / GPL)
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII