Kile kipindi cha Reality Show ya maisha ya mwigizaji
Wema wepetu ambacho hapo mwanzo kilipangwa kuanza kuoneshwa na kituo
cha TV cha Clouds cha jijini Dar es salaam, sasa kitaanza kuonekana
kwenye kituo cha EATV kuanzia mapema mwezi ujao.
Kwa mujibu wa taarifa za mtandao toka kwenye kituo hicho cha TV ambazo hazijaelezea sababu hasa za kipindi hicho kuamia kwenye luninga hiyo zinasema kuwa, fans wa mwanadada hyuo wake tayari kwa ajili ya show hiyo ya kwanza na aina yake bongo.

No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII