OMMY DIMPOZ ATOA BRAND MPYA YA KOFIA CHINI YA KAMPUNI YAKE, TAZAMA PICHA HAPA

Baada ya kumaliza ziara yake nchini Marekani, Msanii Ommy Dimpoz amekuwa busy kutangaza brand yake ya PKP Kupitia mahojiano tofauti anayo pata. Hizi picha chache kutoka Instagram ya Dimpoz. PKP Itakuwa kampuni yenye bidha nyingi nz wasanii wa Na kusimamia kazi za sanaa na wasanii. Dimpoz ameniambia hataweza kuimba maisha yake yote so Pkp ni biashara yake wakati na baada ya kufanya muziki. Umeipenda Pkp ?
Picha Zaidi Hapa


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs