HEBU SOMA NEY WA MITEGO NA MSECHU WALIVYOTUPIANA MANENO MACHAFU KATIKA MTANDAO WA INSTAGRAM



Msanii wa bongo fleva aliyewakilisha Tanzania kwenye mashindano ya vipaji nchini Kenya 'Project Fame' amesema haya kuhusu kazi mpya ya mitego, Unakula ujana au ujana unakukula wewe? Utaimba hadi bolingo mwaka huuuuu.... kweli hiphop aiuziiii..... bado kidogo utakua dancer wangu MSECHU BAND..... GUYS GET READY TODAY JAMAA ANAACHIA MDUARA 



Ney akamjibu kwa kusema : Haaaaaaah Rich rapper @msechu utatembelea bajaji mpaka ujute si ndo kiboko yenu tena wewe ndo unasindikiza tu


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs