Msanii wa bongo fleva aliyewakilisha Tanzania kwenye mashindano ya vipaji nchini Kenya 'Project Fame' amesema haya kuhusu kazi mpya ya mitego, Unakula ujana au ujana unakukula wewe? Utaimba hadi bolingo mwaka huuuuu.... kweli hiphop aiuziiii..... bado kidogo utakua dancer wangu MSECHU BAND..... GUYS GET READY TODAY JAMAA ANAACHIA MDUARA
Ney akamjibu kwa kusema : Haaaaaaah Rich rapper @msechu utatembelea bajaji mpaka ujute si ndo kiboko yenu tena wewe ndo unasindikiza tu
Ney akamjibu kwa kusema : Haaaaaaah Rich rapper @msechu utatembelea bajaji mpaka ujute si ndo kiboko yenu tena wewe ndo unasindikiza tu
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII