HIZI NDIZO PICHA ALIZOTUPIA DIAMOND KATIKA BLOG YAKE AKIWA NIGERIA

 Mapema asubuhi ya leo katika mizunguko yangu hapa 
Lagos,nilipata nafasi ya kuonana kwa mara nyingine
 tena na mwanamziki M.I Agba..legend wa mziki wa hiphop
 nchini hapa,nilionana mara ya kwanza na
 Agba Nairobi Kenya kwenye project ya Coce studio...baada ya
 kuonana tena..tulitumia fursa kupiga misele ya
 hapa na pale..na Mungu akijaalia we
 gonna do something....WCB wasafi for life......

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs