Mapema asubuhi ya leo katika mizunguko yangu hapa
Lagos,nilipata nafasi ya kuonana kwa mara nyingine
tena na mwanamziki M.I Agba..legend wa mziki wa hiphop
nchini hapa,nilionana mara ya kwanza na
Agba Nairobi Kenya kwenye project ya Coce studio...baada ya
kuonana tena..tulitumia fursa kupiga misele ya
hapa na pale..na Mungu akijaalia we
gonna do something....WCB wasafi for life......
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII