|
THANKS GOD KWA KUNIFIKISHA HAPA |
|
Natural Resources Manager |
|
The smile of Victory, THANX GOD |
|
Me and my Young bro, Victor Misana |
|
MamDOGO, and I |
Hakika ni safari ndefu ambayo nimepitia, NAMSHUKURU SANA MUNGU kwa kuniwezesha kufikia hatua hii leo tarehe 23/11/2013 Nimehitimu degree ya pili (
Mater of Science in Natural Resources Mangement). Namshukuru Mama yangu kwa kunifikisha hapa, MUNGU akubariki sana Mama yangu Veronica Busungu, Baba Steven Nyahinga, kaka zangu Gabriel na Nicas na dada angu wa pekee Leah. Nawashukuru sana jamani na Mungu awazidishie na awabariki sana. Marafiki zangu, Gabriel Mayengo (BIG THANKS), Victor Misana, Matheus Cassian, Delphinus, Bakari Zuberi, Mwijage, Alex Wilbrad na wengine weeengi sana, NAWASHUKURU NA NAWAPENDA SANA. Pia namshukuru my fiancee Judith, Mungu akubariki mama angu..."NAWAPENDA SANA"!!!!!!
ONE LOVE AND BE BLESSED GUYS
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII