Pichani ni
Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa
Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter.
Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya
wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija
anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
Emanuel Adebayo & Diamond
Diamond & Iyanya
Peter & Emanuel Adebayo
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII