Pages

Sunday, November 17, 2013

TAZAMA PICHA ZA BEHIND THE SCENE YA REMIX YA MY NUMBER ONE



Naamini ipo siku nasi Tanzania tutasimama Vyema Katika ramani hii ya muziki Worldwide na kuipa sifa na Heshima zaidi East Africa yetu.... Eeeh Mwenyez Mungu ibariki Tanzania, ibariki East Africa na Africa yetu kwa ujumla.... #LastNight #Onset #NumberOneRemix #DiamondFtDavido #ClarencePeterBehindTheCamera

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII